Sunday, October 4, 2015

Mama Samia Suluhu Aunguruma Tabora Mjini, Kiongozi BAVICHA aiponda CHADEMA

Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tabora Mjini wakifuatilia mkutano wa hadhara wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika Viwanja vya Uyui Tabora.
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tabora Mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Uyui Tabora.
Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega Vijijini wakifuatilia mkutano wa hadhara wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan leo.
Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega Vijijini wakifuatilia mkutano wa hadhara wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika jimboni hapo leo.
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tabora Mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Uyui Tabora.
Mmoja wa Wanakamati wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Bi. Asumpta Mshama akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Tabora Mjini leo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Manonge, Seif Khamis Gulamali akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu leo jimboni humo.
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Manonge katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Choma cha Nkola.
Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Taifa, Bi. Anjela Kiziga, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu na mgombea Ubunge wa Jimbo la Manonge, Seif Khamis Gulamali wakijadiliana jambo katika moja ya mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu leo.
Wagombea nafasi za udiwani kupitia CCM Jimbo la Manonge (walionyosha mikono juu) wakitambulishwa na Mama Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika jimboni humo leo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Manonge, Seif Khamis Gulamali akikabidhiwa ilani ya CCM na mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu leo jimboni humo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu akikabidhiwa ilani ya CCM na mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu leo katika mkutano wa kampeni uliofanyika Jimbo la Manonge.
Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega Vijijini wakiwa katika shamrashamra za mapokezi ya Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano uliofanyika jimboni hapo leo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dk. Khamis Kigwangala akizungumza na wanaCCM na Wananchi katika mkutano wa mgombea mwenza wa CCM.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha), Anwari Kashaga akiwaeleza wananchi sababu zilizomfanya kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa habara wa kampeni za mgombea mwenza wa Dk. John Magufuli leo katika Jimbo la Nzega Vijijini. Kiongozi huyo wa BAVICHA ameiponda CHADEMA kwa madai kuwa kwa sasa haina kiburi cha kuupinga ufisadi kwani imemsimamisha kiongozi waliyekuwa wakimtuhumu kuwa ni fisadi miaka yote.
Baadhi ya vijana wanachama wa CCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamepanda juu ya bati la nyumba ili kuweza kumshuhudia mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia katika mkutano wa hadhara Nzega Vijijini.
WanaCCM na Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa CCM alipowasili katika mkutano uliofanyika katika Jimbo la Igalula Tabora leo.
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Nzega Vijijini kwa wananchi wake.
Wagombea udiwani Jimbo la Nzega Vijijini wakitambulishwa mkutanoni leo.
Mgombea ubunge CCM Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe akijitambulisha katika mkutano wa mgombea mwenza CCM uliofanyika Nzega Vijijini. Akizungumza Bashe aliwataka wananchi kuupuuza upinzani na kauli yao ya mabadiliko, kwani hata CCM imefanya mabadiliko mazuri katika nafasi za uongozi hivi sasa hivyo imejipanga kuleta mabadiliko ya kweli kimaendeleo kwa wananchi.
Wagombea ubunge wa majimbo ya Nzega Mjini, Nzega Vijijini na Manonge wakisalimiana na baadhi ya wagombea udiwani wa Jimbo la Nzega Vijijini katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia Suluhu.
Mgombea Ubunge Jimbo la Igalula Tabora, Musa Rashid Ntimizi akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mama Suluhu Hassan leo katika jimbo hilo.
Mapokezi ya Mama Samia Suluhu Hassan Viwanja vya Uyui Jimbo la Tabora Mjini.
Burudani katika viwanja vya Uyui kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza CCM.
Wasanii wa Bongo Movie wakitoa burudani katika viwanja vya Uyui kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza CCM. Katikati ni mmoja wa wanaCCM akijumuika nao.
Wasanii wa Bongo Movie wakitoa burudani katika viwanja vya Uyui kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza CCM.
Umati katika mkutano wa Viwanja vya Uyui Jimbo la Tabora Mjini.
Kundi la wasanii makada wa CCM kutoka Bongo Movie likiburudisa na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya Uyui Tabora Mjini leo.
Kundi la wasanii makada wa CCM kutoka Bongo Movie likiburudisa na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya Uyui Tabora Mjini leo.
Wananchi katika mkutano wa kampeni Viwanja vya Uyui Tabora Mjini.
Burudani zikiendelea katika viwanja vya Uyui Tabora Mjini leo.
Mgombea Ubunge Viti Maalum UVCCM, Tabora Mjini, Irine Uwoya akizungumza katika mkutano huo.
Wasanii wa Bongo Movie wakizungumza wa wanaTabora Mjini katika mkutano wa kampeni leo. JB na ushawishi kwa wananchi katika mkutano huo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Emmanuel Adamson Mwakasaka akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu leo jimboni humo.
Baadhi ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wakifuatilia mikutano ya kampeni za CCM, Uwanja wa Uyui Jimbo la Tabora Mjini.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha), Anwari Kashaga (kushoto) akisalimiana na Mama Samia Suluhu Hassan katika moja ya mikutano ya hadhara ya kampeni.
Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tabora Mjini wakifuatilia mkutano wa hadhara wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika Viwanja vya Uyui Tabora.
Sehemu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega Vijijini wakifuatilia mkutano wa hadhara wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan leo.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...