Monday, October 5, 2015

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015.[/caption] [caption id="attachment_62633" align="alignnone" width="300"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mchungaji Maboya mmoja wa viongozi walioshiriki Tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mchungaji Maboya mmoja wa viongozi walioshiriki Tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015

id="attachment_62634" align="alignnone" width="300"]Mamia ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea amani kuelekea Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015 wakifuatilia wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili waliokuwa wakiburudisha kwenye tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015. Mamia ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea amani kuelekea Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015 wakifuatilia wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili waliokuwa wakiburudisha kwenye tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015.

Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015. Anayepunga mkono kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato Tanzania ndugu Mark Warwa Marekana Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015. Anayepunga mkono kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato Tanzania ndugu Mark Warwa Marekana[/caption] IMG_1493Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015.

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...