Wednesday, July 15, 2015

Harusi ya Bwana Frank Wambura na Bi Eva iliyofanyika Dar es Salaam


Bwana na Bibi Harusi katika nyuso za furaha si wengine bali ni Ndg Frank Wambura na Bi Eva. Harusi iliyofungwa katika kanisa na ST PETER Osterbay jijini Dar es Salaam na baadae katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kadinali Rugambwa uliopo katika Kanisa hilo.


Bwana na Bibi Harusi katika nyuso za furaha si wengine bali ni Ndg Frank Wambura na Bi Eva. Harusi iliyofungwa katika kanisa na ST PETER Osterbay jijini Dar es Salaam

 Mmoja wa washehereshaji waliopata nafasi katika usiku huo maalumu kwa bwana Frank na Mkewe Eva.


 Ndugu wa Bibi harusi wakifurahia jambo



 Baadhi ya waalikwa katika sherehe hiyo

 Bwana na Bibi Harusi wakiwa pamoja na wasimamizi wa ndoa yao
 Wakati wa zawadi umewadia
 Baba wa Bwana harusi akitoa zawadi kwa vijana wao wapendwa

No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...