Saturday, January 11, 2014

Harusi ya Bw. Bushiri Kaubanika na B. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na mkewe Mwatabu Tamarawe wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga pingu za maisha, harusi hiyo ilifungwa Gongo la Mboto Mwisho wa lami na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika Kigogo Dampo jijini Dar es Salaam. Bwana na bibi wote ni walimu wa shule.

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe

Bi. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe

Bwana Bushiri Kaubanika na Bi. Mwatabu Tamarawe. Picha kwa hisani ya www.burudan.blogspot.com.

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...