Monday, September 29, 2014

Harusi ya Bw. Boniface Njanga na Bi. Irine Mshanga

Maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyanyua glasi juu tayari kwa kugonganisha na ndugu jamaa na marafiki.
Bwana harusi Boniface J. Njanga akipozi na mkewe Bi. Irine H. Mshanga mara baada ya kufunga pingu za maisha, Septemba 27, 2014 jijini Dar es Salaam.
Meza ya 'makaka' wa bibiharusi ikifuatilia matukio ya tafrija. 
Baadhi ya 'madada' wa biharusi.                                   
Meza ya madada wa bibi harusi pamoja na marafikizao wakifuatilia tafrija.
Ndugu, jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika tafrija hiyo
Ndugu, jamaa na marafiki wa maharusi wakiwa katika tafrija hiyo
"Kitambaaa cheupeeee..." baadhi ya wageni waalikwa wakicheza wimbo kitambaa cheupe ukumbini.
Meza ya wazazi wa bwana harusi ikijiandaa kugonganisha glasi za vinywaji na maharusi.








No comments:

Post a Comment

SEIF SHARIFF HAMAD AKIRI KUWA YEYE NI BABU KIZEE.

Seif Shariff Hamad Seif Shariff Hamad KWA mara ya kwanza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Seif Shariff Hamad amek...